Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Mwana Simba mwenzangu vp huko fei yupo au ndoto.?Ligi ndyo inaanza leo nyingine zilikuwa bonanza tuView attachment 3651239
Mtanange mkali sana leo.
16/08/2026.
MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.
Simba akifungwa mnipige ban la mwaka
Tuko na Doumbia na Mangungu hadi kieleweke.Ligi ndyo inaanza leo nyingine zilikuwa bonanza tuView attachment 3651239
Mtanange mkali sana leo.
16/08/2026.
MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.
Simba akifungwa mnipige ban la mwaka
NabetLigi ndyo inaanza leo nyingine zilikuwa bonanza tuView attachment 3651239
Mtanange mkali sana leo.
16/08/2026.
MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.
Simba akifungwa mnipige ban la mwaka
Sisi team MANGUNGU tunawatakia kila la heri Kagera.Kagera Sugar mkiamua mnaweza.
Apewe muda.Aisee doumbia kaanza bwana🤣🤣🤣🤣
Mpanzu na Chama waliokiwasha sana msimu uliopita, wameanza tena kusugua benchi!
Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe inaanza rasmi leo, kwa Kagera Sugar FC na Simba SC zikianza kampeni zao za msimu wa 2026/27.
📅 Leo, 16 Agosti 2026
🏟️ Uwanja: Kaitaba Stadium, Kagera
🏠 Mwenyeji: Kagera Sugar FC
🆚 Mgeni: Simba SC
⏰ Muda: Saa 10:00 jioni
🔥 Mchezo wa kwanza wa ligi kwa kila timu — nani ataondoka na pointi tatu?
Simba akifungwa mnipige ban la mwaka
Kikosi cha Kagera Sugar FC
Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo, Mwamba wa Lusaka CHAMA amempisha Morice kwenye kikosi kinachoanza;