Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
WivuuWatajua wenyewe!
WivuuWatajua wenyewe!
Upo sahihi twende hivi hivi Mkuu😀Na kweli, wakija kushtuka hawana mpinzani ndani halafu raha ya ubingwa inazoeleka paredi linakosa watu. Wazungu wana akili ndo maana hata kama una mahela mengi kuna guidelines kuendana na thamani ya ligi.
Sasa yule na selemani nani mzuri zaidi...ukileta foreign player watu hatutakiwi kuanza kusema tumpe muda au mbona kama touch yake mashaka.Kwani ni mchezaji mbaya yule? Achaneni na mkumbo wa upepo, ongeeni kwa ueledi