Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kocha anaamua kuwaaibisha waliomsajiliAisee doumbia kaanza bwana🤣🤣🤣🤣
Kocha anaamua kuwaaibisha waliomsajiliAisee doumbia kaanza bwana🤣🤣🤣🤣
Ndio vizuri Mkuu. Uendelee kukosa ladha hivi hivi, tufanye ya msingi kwanza!Mpira umekosa ile ladha ya misimu miwili mitatu nyuma, ngoja tusubiri club bingwa labda hali itarejea.
Kwa Maslahi ya taifa siyo?Ndio vizuri Mkuu. Uendelee kukosa ladha hivi hivi, tufanye ya msingi kwanza!
Kabisa. Si unajua kichwa ndio ustawi wa mwili. Inasikitisha kuona Ligi yetu inabebwa na wachezaji kutoka nje!Kwa Maslahi ya taifa siyo?
Kwani ni mchezaji mbaya yule? Achaneni na mkumbo wa upepo, ongeeni kwa uelediAisee doumbia kaanza bwana🤣🤣🤣🤣
Na hivi Yanga amekata hatimiliki ya Ligi. Yaani Ligi inaanza Bingwa ameshajulikana. Itazidi kuwa discourage wananchi wengi.Kwa Maslahi ya taifa siyo?
Na kweli, wakija kushtuka hawana mpinzani ndani halafu raha ya ubingwa inazoeleka paredi linakosa watu. Wazungu wana akili ndo maana hata kama una mahela mengi kuna guidelines kuendana na thamani ya ligi.Na hivi Yanga amekata hatimiliki ya Ligi. Yaani Ligi inaanza Bingwa ameshajulikana. Itazidi kuwa discourage wananchi wengi.
Watamtoa wenyewe maana kimesajiliwa kitukoKocha anaanua kuwaaibisha waliomsajili
Yuko vizuri tumpe mudaDOUMBIA hamna kitu....
Kama usajili ilikuwa kwa ajili vichwa basi anaokoa...
Watajua wenyewe!