FT | Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi ya NBC | Uwanja wa Kaitaba | Kaitaba ni Nyekundu

Eeh 0-0 Kaitaba si mchezo wa kufurahisha kabisa, pointi ni pointi lakini Simba wanahitaji kuamka mapema ndio wakimbie na Yanga.
 
Na hivi Yanga amekata hatimiliki ya Ligi. Yaani Ligi inaanza Bingwa ameshajulikana. Itazidi kuwa discourage wananchi wengi.
Na kweli, wakija kushtuka hawana mpinzani ndani halafu raha ya ubingwa inazoeleka paredi linakosa watu. Wazungu wana akili ndo maana hata kama una mahela mengi kuna guidelines kuendana na thamani ya ligi.
 
Angalia final touch za KIBABAGE
 
DOUMBIA hamna kitu....
Kama usajili ilikuwa kwa ajili vichwa basi anaokoa...
 
Alihusika kumleta doumbia amewaweza simba, hamna kitu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…