Eeh hapo Kaitaba si po rahisi kabisa, ushindi huo wa Simba una ladha ya pekee maana wengi walidhani watakwama huko. Lakini buda kweli mpira umegeuka, mwaka huu ligi iko tight sana, hata timu za kawaida sasa zinachuma point nyumbani. Hata hivyo Simba wakishaimarisha safu ya ushindi huu, wanaweza kuwa hatari sana mwishoni. safi sana