Kwa dakika 45 zilizopita, ingawa Kagera wanaongoza kwa goal 1 walilolipata badala ya kuchezewa madhambi ndani ya 18, ila mpira wao bado upo chini ya kiwango ukifananisha na wajelajela.
Kwa kuziangalia hizo forward za timu zote mbili, ngumu sana kupenyeza ndani ya beki za timu kubwa kama Yanga na Simba. Wako slow na wazito wa maamuzi ya fasta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.