FT: Kagera Sugar 2 - 1 Tanzania Prisons NBC Premier League: 3 Nov 2023

FT: Kagera Sugar 2 - 1 Tanzania Prisons NBC Premier League: 3 Nov 2023

Prison wana midfielders wazuri ila beki na wafungaji hawana kabisa.
 
Faulo eneo baya kuelekea kwa Prison
 
Dakika ya 70
Kagera 2
Prison 0
 
Prison wamerudisha chuma 1 kutoka kwa Hamis Mchwa
 
Tunasubiri comeback ya Wanyapala.
 
Faulo eneo baya nje kidogo ya 18 kuelekea Prison.
 
Ikapigwa shuti ila limetoka nje
 
Mpira hatari unaendelea. Sema Kagera wanapelekewa moto sana.
 
Dah hatar inaenda kwa Prisons
 
Kagera wanakosa kosa hapa
 
Kuna shuti inepigwa hapa daaah
 
Kagera ndani ya hizi dk 5 wanapeleka moto sana. Wameshambulia sana na kumikiki mpira
 
Prison wamekosa goal la kizembe sana.
 
Back
Top Bottom