FT: Kagera Sugar 2 - 1 Tanzania Prisons NBC Premier League: 3 Nov 2023

FT: Kagera Sugar 2 - 1 Tanzania Prisons NBC Premier League: 3 Nov 2023

Hapa naona Kagera anazidi kufanya sub tu. Nadhani anaongeza ulinzi na kupunguza mashambukizi.
 
Makipa wa Kiswahili kama kawaida yao kupoteza muda kijinga jinga.
 
Mwendo wa Sub. Prison wameingiza chuma inaitwa Messi.
 
Dakika ya 80 matokeo vile vile.
Kagera 2
Prisons 1
 
Naona mtangazaji anasema Prisons washawahi kua mabingwa za Ligi Kuu 1999 aisee.
 
Kuna moto unapelekwa hapa kwa Prison ila wameuzima
 
Aisee Prisons watafute forwad
 
Kuna jitu refu sana hapa Prisons
 
Mpira haujatulia ni butu butu .. dakika ya 87
 
Kipa wa Kagera ana uswahili sana.
 
Dakika ya 90 bado matokeo ni Kagera 2 na Prison 1
 
Bado dk 1 kipyenga kipigwe
 
Sekunde yoyote hapa mpira unaisha
 
Kama kawaida kipa wa ovyo
 
Back
Top Bottom