Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
diarra si bado hajarudi? Itakuwaje sasa?Kila la kheri kwa timu yangu Yanga, ushindi ni lazima kokote popote.
Acha hizo Mkuu, Yanga ni kikosi kipana.diarra si bado hajarudi? Itakuwaje sasa?
hao lagers mkuu sasahv sukari hakuna wanashindia maji ni kujipigia tu hapoπAcha hizo Mkuu, Yanga ni kikosi kipana.
Diarra tunamchomea ubani wavuke Jumamosi.
Mungu hajibu Dua mbayaNawaombea Utopolo mpigwe au mtoe droo hii match.
Inshallah Mungu atatenda.
Kagera Sukari, Najua mnajua cha kufanya
Dua mbaya hapo ni ipi?Mungu hajibu Dua mbaya
Hilo ni lazima kama ilivyokuwa makosa ya kibinadamu kwenye ushindi wa goli tano dhidi ya makolofiveUtopolo A vs Utopolo B: tutengee makosaya ya kibinadum leo
Imeisha atakuwepo kuwatibu watu ngiriHivi adhabu ya The Tank imeisha?
Kila la heri wananchiππ
Ahaa Mungu ibariki Yanga halafu kagera ilaaniwe?β½οΈ Kagera Sugar Vs Young Africans SC
π 02.02.2024
π Kaitaba
π 10:00 Jioni
Mungu ibariki Yanga