FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

hv nani ameangalia jua mle uwanjan!
ule uwanja anayeangalia jua linapozamia(rwamishenye) ndo hula bao la kuanzia
 
Hawa kagera ni suala la muda tu. Sidhani kama wanaweza wakazia.
 
Goli clear kabisa tumenyimwa. Mtangazaji kaniunga mkono. Huyu refa pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom