FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Katika wachezaji Yanga tulijua tumelamba dume na tulimuimba sana ni Max nzengeli, lakini cha ajabu kashuka kiwango vibaya mno. Kawa wa kawaida mno
Wengine tuliona, ilikuwa nguvu ya soda.
Na mara nyingi huwa inakuwa hivyo.
Wakina Mayele, Aziz, Pacome walianzia chini kuelekea juu.
Max alianzia Juu kuelekea chini.
Na hiyo ndio nature
 
Mwenye kikosi cha Yanga atupie hapa,

Usikute wameingiza team B
 
Wengine tuliona, ilikuwa nguvu ya soda.
Na mara nyingi huwa inakuwa hivyo.
Wakina Mayele, Aziz, Pacome walianzia chini kuelekea juu.
Max alianzia Juu kuelekea chini.
Na hiyo ndio nature
Ni sahihi, Zizou alionekana wa kawaida sana ila ndio hatari sana
 
Back
Top Bottom