nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Kiroho hadi mda huu kagera anaongoza kwa goli moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Uto wamezidiwa vibaya mnooo.Yupo
Hii ndo tafsiri ya wamatopeni au[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2772]
Ahabiki damdam nipo live!
Nakosaje kwa mfanoooo
[emoji1783]
Kagera sugar wamekosa goli la wazi hapaTupeni Updates...
Wana Sukari naona wamekaza ..wataachia tu wait and seeNasikia Uto wamezidiwa vibaya mnooo.
Elezea mkuu ,tulioko mbali tukuelewe.Kiroho hadi mda huu kagera anaongoza kwa goli moja
Mnapigwa cha kwanza dadeki.Kagera wanapata Kona hapa
😂😂😂😂😂😂Hii ndo tafsiri ya wamatopeni au[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kiroho hakuna goli linalokaliwa...Elezea mkuu ,tulioko mbali tukuelewe.
Umesahau pira bahasha ?Tz kuna marefa ama wapuliza filimbi
Nadhan sasa ivi huko uliko unashuhudia makosa ya kibinadumLakini Yanga hawana Tatu Mwalongo
Nadhani makosa ya kibinadum unayaona sasa hiviHilo ni lazima kama ilivyokuwa makosa ya kibinadamu kwenye ushindi wa goli tano dhidi ya makolofive
Kumfananisha Metacha na Ayoub ni kumkosea Ayoub. Metacha ni wa ovyo zaidi, hajui kudaka na hajui kuongea na mabeki zake. Yaani hadi Diarra arejee sijui Yanga itakuwa na hali ipiMETACHA HANA TOFAUTI NA AYUBU SEMA KAGERA HAJAMJULIA TU.
METACHA NI MOJA KATI YA MAKIPA WAZEMBE TU.