FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Kama kawaida tunazozihitaji ni Points tatu ili kuzidi kujiweka katika nafasi ya kuchukua Ubingwa kwa mara ingine.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
betting companies wana dharau sana! yani kagera sugar na yanga kufungana wanatoa 2.80!
tena Kaitaba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…