duuuuFT
1-1
Lakini angalau vita ya nafasi ya pili mmeiweza, Ikiwa simba na azam watalingana points, Simba atapewa nafasi ya piliUkiacha waamuzi kuwabeba Uto, na sisi pia mwaka huu tuwarahisishia mno Uto. Tuliwachia points 6, magoli 7 na leo tumewawahishia kuchukua ubingwa.
tatu mulogo angekuwa refa zingeongezwa dakika 20.Zimeongezwa dakika ngapi huko..??
🤣🤣🤣 Ilikuwa ya jinsi ya mgunda mkuu ,Hapa na bado federation road ipo clearYa kabati
kwa ujumla Simba kadhamiria kumpa yanga ubingwaUkiacha waamuzi kuwabeba Uto, na sisi pia mwaka huu tuwarahisishia mno Uto. Tuliwachia points 6, magoli 7 na leo tumewawahishia kuchukua ubingwa.
Draw kwao ni ushindi toshaKwani wameshinda?