FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

Leo yanga ana extend gape akiwa amekaa hotelini
Mgunda sio kocha ni muhamasishaji Sasa Leo atakutana na master baba Isaya
Kataraiya.
Unataka kutuambia Kagera wana mpira mzuri kuliko Azam?

Japo ball haliko hivyo
 
Screenshot_20240512-152657~2.png
 
Ball Limeanza.
Nitakuwa naweka updates kwenye post #1.
Matukio yote muhimu
 
Edwin Baluaaa...
Wa moto kabisa
 
Simba wameanza kwa kasi sana hapa
 
Back
Top Bottom