Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnatapatapaLeo yanga ana extend gape akiwa amekaa hotelini
Mgunda sio kocha ni muhamasishaji Sasa Leo atakutana na master baba Isaya
Kataraiya.
Active, Fang twendeni liveView attachment 2988770
VS
View attachment 2988733
Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024.
Nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
Kagera Sugar FC
View attachment 2988798
Simba SC
View attachment 2988794
UPDATES....
2'
Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa.
Kupitia kwa Freddy Michael.
Alikuwa ameshamtoka hadi Kipa.
Mpira ukaenda nje.
Walivyowakimbiza mkatoa sare February?Kaitaba hatoki mtu
Wanabania kitufe
Huyo ex Uto Obrien Chirwa kaamua kuzeekea ligi kuu ya TZView attachment 2988770
VS
View attachment 2988733
Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024.
Nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
Kagera Sugar FC
View attachment 2988798
Simba SC
View attachment 2988794
UPDATES....
2'
Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa.
Kupitia kwa Freddy Michael.
Alikuwa ameshamtoka hadi Kipa.
Mpira ukaenda nje.
7'
Game on.
Mashambulizi yanakuwa bado ni yakushtukiza.
Mpaka sasa Simba anafika zaidi lango la Kagera Sugar