FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

Hao akina Freedy kule mbagala wamejaa kama dagaa. unaweza kuwanunua kama mafungu ya dagaa
Mimi siamini kwenye ndumba FREDDY anakosa umakini mechi imeanzaa kua ngumu kwetu 😊

Ukisha kua straika Ni kupunguza papara na kua makini Sanaa Freddy Ni professional player why anafanya Kama Ni MCHEZAJI WA MTUMBA
 
nasubiri kipindi cha pili ndio niangalie mpira, sitaki stress
 
Mchezo ukiisha hivi hivi, azam atamaliza ligi akiwa wa pili.
Kolo jitayarisheni kucheza kombe la losers
 
Back
Top Bottom