FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

Mgunda ndiye alikuwa nyuma ya kilichoisibu Simba. We told you!
Mgunda na matola ndiyo vigagula pale simba. Waliwachawia makocha hadi wachezaji.
Uliona wapi kocha anarudi kwao kwenda kuongeza ujuzi (kujiagua) wakati timu yake ina michezo muhimu?
Simba wanao hao vibwengo.
Hata wamlete gadiola timu itafungwa tu kama hao jamaa bado wapo simba
 
Back
Top Bottom