Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Waliaminishwa kwamba Simba Sc huwa ni mbovu kipindi cha pili.Hivi hawa Kagera Sugar nani aliwadanganya wapishane na Mnyama
Wangekabia kati kuja chini na kufanya counter tu
😀😃😃 Hawapo online wameenda kula cha jioniMoods walio zamu leo ni UtoView attachment 3181763
HazifikiHawa naziona 7
Maombi yatamuokoa😃😄😀Mutale atupishe
Ninaona kameseji pale juu. Mbona mimi sizipati?Moods walio zamu leo ni UtoView attachment 3181763
Azidi kupewa nafasiAsaidiwaje Sasa?
Vilio vimeanzaKagera ni timu ya hovyo kuwai kuiona duniani.
Wanatafuta matokeo gani kwa simba namna hiii wanakuja mbele kama wendawazimu
Hii mechi wanaweza fungwa hata saba.
Vilio vimeanzaKagera ni timu ya hovyo kuwai kuiona duniani.
Wanatafuta matokeo gani kwa simba namna hiii wanakuja mbele kama wendawazimu
Hii mechi wanaweza fungwa hata saba.
Wanalia huku wanawehuka😀😄😃Vilio vimeanza
Kinawaumaje wakati Utopolo amekufunga mara 4 mfululizo???
Tusimkatie tamaaMutale anatia huruma