FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

Yanga waliangushwa na eneo la golikipa na sio timu kiujumla,,yale magoli 2 waliyofunga mashujaa angekuwepo diarra asingefungwa magoli kama yale,,,Simba yenyewe imekamilika na kipa wao namba Moja yupo ivyo usilinganishe ivyo vitu
Goli 03 za Tabora alifungwa nani? Upenzi wa timu usikutie upofu kijana.
 
Chasambi atakuja kuwa player wa moto sana, nadhani kuna mtu kamshauri kuhusu lile swala lake la uchoyo.
Ninachompendea Chasambi huwa haogopi kuingiza miguu yake katika mipira ya kugombania au kulazimisha foul. Huyu na Kibu ni baba mmoja mama mbalimbali.
 
Bado nina imani kubwa sana na Mutale,kuliko hata Mukwala.Ni suala la muda tu na kutengenezwa kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom