FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

Lolote liwakute. Leo lazima mpasuke
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Kwa muktadha wako, nitakuwa sahihi nikisema Yanga Sc amshukuru sana Mungu kushinda goli 3-2 dhidi ya Mashujaa nitakuwa sawa.?

Maana Mashujaa hawakuwa makini tu, hasa ukizingatia walihitaji goli moja tu ili watoe sare, na kwa zile nafasi walizokosa hilo moja lisingekoseakana kama wangekuwa makini.
Huyo hana akili na hawezi kukuelewa. Ila wale Wazee 2 wenye akili wao wamekuelewa.
 
Kwa muktadha wako, nitakuwa sahihi nikisema Yanga Sc amshukuru sana Mungu kushinda goli 3-2 dhidi ya Mashujaa nitakuwa sawa.?

Maana Mashujaa hawakuwa makini tu, hasa ukizingatia walihitaji goli moja tu ili watoe sare, na kwa zile nafasi walizokosa hilo moja lisingekoseakana kama wangekuwa makini.
Yanga waliangushwa na eneo la golikipa na sio timu kiujumla,,yale magoli 2 waliyofunga mashujaa angekuwepo diarra asingefungwa magoli kama yale,,,Simba yenyewe imekamilika na kipa wao namba Moja yupo ivyo usilinganishe ivyo vitu
 
Hiyo "Vinginevyo" unakusudia kwamba wangesawazisha??

Basi kama unawaza hivyo utakuwa na Ballon D'or ya ujinga
Wewe kama kweli unaujua Mpira unaona kitu Gani kwenye defence line ya timu yako?
 
Magoli hayo ya hovyo yanatokana na Simba Sc kukosa center back anayejua kunusa hatari kwenye ukuta wake, nadhani anajulikana.

Chamou na Hamza ni wazuri sana ila wote wanakosa anticipation kwenye mashambulizi ya kushtukiza.
Chamou anajua ila ni mzito
Akili inataka mwili unakataa
 
Akili za mbumbumbu ni habari nyingine,,ubao unasoma 5-2 na Kagera wameangushwa na umakini wao mdogo pale kwenye umaliziaji vinginevyo mshukuru mungu,,
Vipi kama akina Mukwala, Mutale na Ahoua nao wangekuwa makini Kagera si wangepigwa goli 10,kipa wao naye kafanya kazi ya ziada kupunguza idadi ya magoli. Vipi utopolo walipocheza na Kagera matokeo yalikuwaje?
 
Back
Top Bottom