FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

Kwenye muda hapo sidhani kama uongozi utavumilia.

Timu zetu si unazifahamu lakini.
Yeah lakini naweza kuwaelewa kwasababu moja tu ya eneo ambalo anacheza Mutale lina wachezaji wengine ambao ni bora zaidi wasio hitaji muda.

Ila kwa tetesi nilizosikia ni kuwa Fadlu hategemei kufanya usajili kwenye dirisha hili dogo ukiachana na ingizo la Mpanzu.

Sababu ni kuwa katika hiki kipindi ni ngumu kupata mchezaji mzuri
 
Goli la pili la Mukwala

 
Japokuwa na sisi mashabiki hatuelewekagi muda mwingine

Huyu Chasambi watu wamemkaanga sana humu.

Ila leo anastahili kuwa man of the match.
Chasambi aliyekuwa anakaangwa humu ni yule ambaye sehemu kama zile za kuachia mpira kwa wengine yeye anang'ang'ania kugunga mwenyewe.

Ni kama alivyokuwa Kibu kipindi kile yupo obsessed kufunga alikaangwa sana, ila sasa nani anamkaanga.?

CHASAMBI kacheza vizuri leo.
 
20e36d99-70dd-4780-aad8-4da7511965ac.jpeg
 
Lile goli la Pili ukiangalia ni kama Camara aliliacha liingie makusudi tu maana alishajua points tatu ni zetu hivyo hakutaka kutumia nguvu tena
Naunga mkono hoja ndugu yangu 😃 😀 😀 😃 😀
 
Back
Top Bottom