FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

Ameingia kwenye timu yenye pressure kubwa, hayo yote unayoyaona ni matokeo ya ukubwa wa timu.

Muda utafika atatulia, ila muhimu awe anapewa nafasi ya kucheza kwenye zile mechi ambazo hazina pressure
Kwenye muda hapo sidhani kama uongozi utavumilia.

Timu zetu si unazifahamu lakini.
 
Back
Top Bottom