tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Yes. Aliona akiruka anaweza akaumia ikawa hasara zaidi kwa timu ya Simba. Hata mm nilimuona mkuu. Hii mbinu Utto hawawezi kuigundua na kuitumia kwenye mechi zao.Lile goli la Pili ukiangalia ni kama Camara aliliacha liingie makusudi tu maana alishajua points tatu ni zetu hivyo hakutaka kutumia nguvu tena