Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ameingia kwenye timu yenye pressure kubwa, hayo yote unayoyaona ni matokeo ya ukubwa wa timu.Mapito gani kila mechi unavurunda tu
Muda utafika atatulia, ila muhimu awe anapewa nafasi ya kucheza kwenye zile mechi ambazo hazina pressure