FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

Mtoe nouma muweke mpanzu "football genius"
 
Kikosi cha leo bila kumuanzisha mpanzu hatukitambui kabisa
 
Kagera wajitahidi wa mzibiti refa tu uyo ndiye mchezaji hatari kwa Simba hii ya Sasa.

Wakiweza ku mzibiti refa, watapata Matokeo yoyote wanayo yataka.

Mfano: Simba Vs Azam (Makosa ya kibinadamu) Simba ilifaidika.

Pamba vs Simba (Makosa ya kibinadamu) Simba inafaidika

Dodoma JiJi vs Simba (Makosa ya kibinadamu) Simba inafaidika

Mashujaa vs Simba ( Makosa ya kibinadamu) Simba inafaidika.
n.k
Kagera wawe makini Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…