FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Ila wanayanga wenzangu tunapofurahia wenzetu kufungwa!
Tujiangalie na sisi tupoje
Kikosi chetu kingekua hapo ingekuaje
Tunayomengi yakutuumiza kuliko kufurahia kidogo kinachopita[emoji848]
 
Ila wanayanga wenzangu tunapofurahia wenzetu kufungwa!
Tujiangalie na sisi tupoje
Kikosi chetu kingekua hapo ingekuaje
Tunayomengi yakutuumiza kuliko kufurahia kidogo kinachopita[emoji848]
Hiyo siyo kazi yako,utakuwa shabiki wa Yanga ya Kasulu huko
 
Kaka huyu si mnasifiaga anajua kukaa na mipira leo hii garasa.....daaah sio fuleeeeeeshiiiii kabisa [emoji3][emoji3]
We mtoto hivi una habari tunacheza na Kaizer sio Utopolo?
 
Hii mechi tunashinda tulieni tulieni mpira dakika 90.
 
Akili za kiutopolo ..myaani kwako umelala.njaa,ukiona jirani naye kalala njaa unasyangilia!!
 

Kweli
 
Nimepewa hela na Dingi nikalipe bili ya maji nikatandaza mkeka kwa Simba,sasa yule mzee namwambia lugha gani anielewe?,ni Brigedia mstaafu wa jeshi na leo asubuhi alikua akiifuta futa vumbi bastola yake,,,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…