Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 May 15, 2021 #281 Leo mnapigwa 4=0 na ndio itakuwa mwisho wa Simba kwenye mashindano,mtatolewa kwa aibu
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,627 Reaction score 38,689 May 15, 2021 #282 Mikiaaaaaaaaa
päiva JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 240 Reaction score 256 May 15, 2021 #283 kiwatengu said: 3 Click to expand... Khaaaa....
M Montserrat JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 10,938 Reaction score 14,745 May 15, 2021 #284 Piga hiyo mijibwa ya msimbazi
Cytochrome p450 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2019 Posts 5,638 Reaction score 15,044 May 15, 2021 #285 Tunaomba link ya game wakuu
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,627 Reaction score 38,689 May 15, 2021 #286 Pigaaaaa umbwaaaa haooo
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 18,585 Reaction score 16,780 May 15, 2021 #287 Naifananisha Simba na Binti mwenye uwezo wa kukata sana viuno lakini hashiki Mimba
nankumene JF-Expert Member Joined Nov 12, 2015 Posts 7,355 Reaction score 8,149 May 15, 2021 #288 piga nyau hilooo
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 May 15, 2021 #289 Mamaaa
Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 998 Reaction score 2,506 May 15, 2021 #291 Tshabalala kaamua kutoa assist 🤣 🤣
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 May 15, 2021 #292 Leo kwa kweli kimeumana tulikuwa tupigwe la 4 Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
nankumene JF-Expert Member Joined Nov 12, 2015 Posts 7,355 Reaction score 8,149 May 15, 2021 #293 piigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 May 15, 2021 #294 Ligi ya SA ipo vizuri,timu ya 10 kwenye ligi inatupiga 3
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 May 15, 2021 #295 OKW BOBAN SUNZU said: Nimeacha kutazama game labda mimi ndio nimekalia goli Click to expand... Mkuu Hata hivyo mmepambana sana [emoji1666] mnastahil pongezi
OKW BOBAN SUNZU said: Nimeacha kutazama game labda mimi ndio nimekalia goli Click to expand... Mkuu Hata hivyo mmepambana sana [emoji1666] mnastahil pongezi
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 May 15, 2021 #296 Bonge la pasi anatoa MOHAMED Hussein
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 18,585 Reaction score 16,780 May 15, 2021 #297 Viuno vingiii
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 May 15, 2021 #298 Hawa mabwana wakija Bingo, kitachotokea ni hiki: Watacheza defense game na Simba wakifanikiwa kupata bao moja, jamaa wataanza kushambulia na watasawazisha na kuongeza mabao mengine.
Hawa mabwana wakija Bingo, kitachotokea ni hiki: Watacheza defense game na Simba wakifanikiwa kupata bao moja, jamaa wataanza kushambulia na watasawazisha na kuongeza mabao mengine.
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 May 15, 2021 #299 Simba tumefungwa 3:0 tumetolewa, tujiandae mwakani.
T Teamanaconda JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 602 Reaction score 564 May 15, 2021 #300 Leo zinafika kumi hapa