FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Kuna dalili za kula mkono! Tushakula Nne...ila sema hii ndio mbinu bora ya wao kusonga mbele kwa mkapa hapaeleweki!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkia walijikuta Man city full kujiamini kmk..
 
Ni huzuni kwa kweli
Screenshot_2021-05-15-20-18-15-1.jpg
 
Kocha na MO mjitafakari nimewaambia mapema mtoeni Mgaru hamtaki.Haya Sasa tukutane msimu ujao.
 
Back
Top Bottom