Tuliambiwa ATCL inaingiza faidaTuliambiwa kaiza ni kibonde
4G plus
Simba kapogwa 4 na kibonde wa southTuliambiwa kaiza ni kibonde
4G plus
Tuliambiwa ATCL inaingiza faida
Shukran sana
wana shida sn hawa watuKuna shabiki wao anamajina matatu humu ndani huwa anaponda sana wachambuzi wakisema timu yao bado kushindania ubingwa wa CAF champions league
Simba kapogwa 4 na kibonde wa south
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Shukran sana
Alisikika mlevi mmoja akijikojoleaVyovyote itakavyokuwa ninachojua Simba ina uwezo mkubwa wa Kulipaza kisasi nyumbani Tena kwa Nguvu mno.
Kwa lugha nyingine Simba huwa hafungwi Mara mbili na Timu Moja.
Duh! Hiv kweli utabiri wako unaenda kutimia.Ni ukweli. Leo kuna dalidali za vile vipigo vya G, doesn't 3,4,or 5