FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Watu waliingia na matokeo Yao mifukoni kisa KC iko nafasi ya tisa kwenye ligi yao.

Imeisha hii.

Manara yupo wapi alinde brand ya team yake?
 
Kweli tumepigwa leo, kikosi chetu bado sana
 
Aisee kuna msauzi nilimtambia sana, nitaiweka wapi sura yangu mie!
 
Vyovyote itakavyokuwa ninachojua Simba ina uwezo mkubwa wa Kulipaza kisasi nyumbani Tena kwa Nguvu mno.
Kwa lugha nyingine Simba huwa hafungwi Mara mbili na Timu Moja.
Alisikika mlevi mmoja akijikojolea
 
Yani utopolo kwenye nyuzi zao kama ule wa Namungo hawaonekani utafikiri hawana bundle, ila kwenye mambo ya Simba wanajitokeza kwa shangwe utafikiri wamepata mume ukubwani.
 
Back
Top Bottom