FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Ukisema hivyo kuna watu watakuja kumtetea kwa kusema Mugalu ni "Mshambuliaji mkabaji",ila kiuhalisia jamaa ni garasa haswa kwenye mechi kubwa za kimashindano.

Rally bwalya leo amepwaya kabisa.. why kaanzishwa?
 
Huyu Mugalu ni maku sana hana msaada kwa timu. Sijui wanabemendana na kocha
Ukisema hivyo kuna watu watakuja kumtetea kwa kusema Mugalu ni "Mshambuliaji mkabaji",ila kiuhalisia jamaa ni garasa haswa kwenye mechi kubwa za kimashindano.
 
Kumbe mpira wenu mnauchezea FIFA siku hizi, ndio maana leo Namungo kawatoa ulimi nje.
FIFA ndio wenye mpira wao ile kesi ikifika mezani kwao nachukua point 3 na TFF inakula fine.

Halafu nimekumbuka hivi ile barua yenu aliyoipost manara anaipeleka FIFA miaka mitatu ya nyuma ili wapate points za huruma ilishia wapi.

NB.
Nasisitiza uzalendo uzalendo uzalendo,tukae mpaka mwisho,tupo pamoja mtani.
 
Na hapa kaizer chiefs tunaumwa, ingekuwa tupo vizuri sjui ingekuwaje
 
Huyu Mugalu ni maku sana hana msaada kwa timu. Sijui wanabemendana na kocha
Ukisema hivyo kuna watu watakuja kumtetea kwa kusema Mugalu ni "Mshambuliaji mkabaji",ila kiuhalisia jamaa ni garasa haswa kwenye mechi kubwa za kimashindano.
 
Ukisema hivyo kuna watu watakuja kumtetea kwa kusema Mugalu ni "Mshambuliaji mkabaji",ila kiuhalisia jamaa ni garasa haswa kwenye mechi kubwa za kimashindano.
Kaka huyu si mnasifiaga anajua kukaa na mipira leo hii garasa.....daaah sio fuleeeeeeshiiiii kabisa 😀😀
 
Back
Top Bottom