Yote haya niliyajua kabla na ndio maana nikaweka hela kwenye mkeka wa mechi hii. Hapa naombea lipatikane goli moja lingine nipate hela ya kilo sita za kitimotoSi ndio hawa walikupiga mkono kasoro moja
Wewe huoni vitoto vya hii chiefsAcha hizo.
Sababu huwa hazikosekaniNabi bado anajenga falsafa zake ktk timu tofauti na Gamondi ambaye ameshakaa na Yanga msimu mzima. Hata chelsea jana alifungwa goli 4 na Celtic kwasababu kocha mpya kaja na falsafa mpya.
Usikariri. Kama huna uhakika muulize msemaji wa timu ambaye pia ni afisa habari, Haji ManaraHalafu huu uwanja si kuna wapuuzi walikuja na imani zao za kipuuzi, wakaunguza pitch CAF wakawapiga faini ya dola 10k au sio uwanjaa huu......
Watu wanafanya mabonanza Souz ila midomo yao,Simba haijacheza mechi ya ushindani tukaiona, Ingecheza tungejua kama hiyo tarehe 8 ni balaa linakuja au Batiki watatafutana, na kama ni balaa linakuja kwa ukubwa gani.
Subiri zamu yako ifikeTutaambia nini watu sasa?
na bukta lako la kitenge..π πBora umekuja tucheck zetu ball! Unaangalia kwenye kibanda umiza au sebleni
Wamezindua jezi zao mpya za msimu ujao,za first half ni za nyumbani hizi ni za ugenini.Jamaa wamebadili jezi au kulikuwa na mkanganyiko nini ?
Mwalimu haeleweki ikiwa anafundisha huku akikalipiaDarsa limekuingia.
Enjoy the game.
Hapana. Wanacheza vizuri kuliko hata batiki ila wanafanya makosa yanayowagharimu, Nabi kaingiza vijana wadogo wadogo hawana uzoefu inaonekana.Mnaoangalia mpira Kaizer wamepaki Semi???
Mana wasouth wanalalamika kuwa kaizer wamepaki bus wanaogopa kushambulia wasije kupigwa 10
Mambo yameanzana.Azizi key, sasa naenda kwenye Uzi wa Muhasibu