FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Wenyewe wanakwambia Yanga ni timu inayokuja kwa kasi sana
Kwahiyo kwa huku kusini ambako utwala ni wa Mamelodi sundown wanaona Yanga imekuja kumletea Mamelodi upinzani mkubwa ambao wao kwa sasa ni kama wameushindwa...
Sisemei kashabiki ila nmewafatilia sana wa SA kiasi hata ligi wanaiona NBC ni kubwa kuliko PSL
Na jana wamewacheka kaizer nakuwaambia watapigwa 5 -1 kama walivyopigwa na Mamelodi na kama Yanga ilivyowapiga Simba wakasema Fadlu hana mda anarudishwa verysoon..
Simba watakwambia gsm katembeza bahasha namungo fc had SA
 
Twendeni taratibu hapoooo... kono la nyani kono! Tusije kuongea mengine kesho hapo
 

Attachments

  • IMG_20240724_155800.jpg
    IMG_20240724_155800.jpg
    99.4 KB · Views: 1
Kwa mpira upi mnaoucheza? Nyie jidanganyeni siku hiyo mtatoka nduki na vitenge vyenu
Kaka hii Yanga sio ya kuisemea haya. Mimi Yanga ikiwa unga mwana huwa nasema mbona. Simba kumfunga Yanga ni mambo ya mpira. Mpira unadunda ila hii Yanga ni kisanga tukiweka ushabiki pembeni.

Wewe hiyo tarehe ikifika muendee tena bila guard uone kama hawajaupdate namba tano kwenye jezi zao.
 
Back
Top Bottom