FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Unahisi sababu ni ni,ni?
Wenyewe wanakwambia Yanga ni timu inayokuja kwa kasi sana
Kwahiyo kwa huku kusini ambako utwala ni wa Mamelodi sundown wanaona Yanga imekuja kumletea Mamelodi upinzani mkubwa ambao wao kwa sasa ni kama wameushindwa...
Sisemei kashabiki ila nmewafatilia sana wa SA kiasi hata ligi wanaiona NBC ni kubwa kuliko PSL
Na jana wamewacheka kaizer nakuwaambia watapigwa 5 -1 kama walivyopigwa na Mamelodi na kama Yanga ilivyowapiga Simba wakasema Fadlu hana mda anarudishwa verysoon..
 
Na watapigwa kweli.

Nina usongo sana na Mamelodi Sundowns

Maana mwaka Jana hatukaumalizana
 
Back
Top Bottom