Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
= natabiri.
Wenyewe wanakwambia Yanga ni timu inayokuja kwa kasi sanaUnahisi sababu ni ni,ni?
Naunga mkono hojaNashauri tar 8 msiingize timu uwanjani, itamletea shida mwamedi
Pacomee akeeNje Tuna Musonda, Chama, Bakeke na nani tena?
Jana Sijakuona kwenye Tuzo za Kiswahili mrembo wangu!!= natabiri.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ayaaaa....Patamu hapoPacomee akee
Na watapigwa kweli.Wenyewe wanakwambia Yanga ni timu inayokuja kwa kasi sana
Kwahiyo kwa huku kusini ambako utwala ni wa Mamelodi sundown wanaona Yanga imekuja kumletea Mamelodi upinzani mkubwa ambao wao kwa sasa ni kama wameushindwa...
Sisemei kashabiki ila nmewafatilia sana wa SA kiasi hata ligi wanaiona NBC ni kubwa kuliko PSL
Na jana wamewacheka kaizer nakuwaambia watapigwa 5 -1 kama walivyopigwa na Mamelodi na kama Yanga ilivyowapiga Simba wakasema Fadlu hana mda anarudishwa verysoon..
AaahaaaaMagoma ingilia kati la sivyo huko champion vilabu vingi vitapigwa tano
Kwa mpira upi mnaoucheza? Nyie jidanganyeni siku hiyo mtatoka nduki na vitenge vyenuDadeki makolo muda huu mavi yanagonga chupi.
Alisikika Wallace Karia.
Ndio maana mi napenda sana hawa vijana waende timu kubwa ulaya. Wanajituma sana asee.Confidence ya Ibrahim Bacca sio ya kucheza timu za Africa, Maxi wa kumuweka benchi ni majeruhi tu
AaahaaaaDhambi za Dune wapewe mashabiki wa
Mwakarobo
Mwanatatu mwakaTano
Makolo
SANDA fc popote walipo
Bwana awe nanyi