FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Kaka hii Yanga sio ya kuisemea haya. Mimi Yanga ikiwa unga mwana huwa nasema mbona. Simba kumfunga Yanga ni mambo ya mpira. Mpira unadunda ila hii Yanga ni kisanga tukiweka ushabiki pembeni.

Wewe hiyo tarehe ikifika muendee tena bila guard uone kama hawajaupdate namba tano kwenye jezi zao.
Simba haijacheza mechi ya ushindani tukaiona, Ingecheza tungejua kama hiyo tarehe 8 ni balaa linakuja au Batiki watatafutana, na kama ni balaa linakuja kwa ukubwa gani.
 
Back
Top Bottom