FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Usicomment tena! Waachie wengine nafasi
Leo nadili nao mmoja mmoja Hawa ni ndugu zangu mtaa mmoja kariakoo
20240615_154508.jpg
 
Kila la kheri chama langu kutoka kusini mwa jangwa la Sahara timu pendwa💚💚💚 sisi sio ubwela SC

Comasava Yanga SC 💚💚💚💚💚 ushindi wa bao za kutosha hapo baadae Cc ephen_

Kuna timu kila msimu jezi zake huwa ni zile zile tofauti ni kola au matangazo ya tajiri tuu.

Katika suala la Yanga sitaki masikhara kabisa View attachment 3054489
😂😂matangazo yenyew yanabadirika rangi tuu
 
Back
Top Bottom