Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanda fcVITENGE FC
Dstv wapo mubashara hapa wameanza na documentary ya Kaizer Chiefs akiwa Turkey pre season then inafuata mbungi.Hivi hii na AZAM wanairusha au DSTV pekee? Maana DSTV walishatangaza wanairusha! Tuanze kujipanga mapema ku-update DSTV kwa kifurushi isije ikafika saa 10 unawasha TV unakutana na viwanjani leo
All the best Wananchi. Tukawachezeshe amapiano wajukuu wa MandelaMATCH DAY
View attachment 3054488
⚽ Kaizer Chiefs FC Vs Young African SC . 🏆 Toyota Cup.
🏟️ Free State Stadium, Bloemfontein.
⏰ 1600hrs East African Time.
TakatakaMATCH DAY
View attachment 3054488
⚽ Kaizer Chiefs FC Vs Young African SC . 🏆 Toyota Cup.
🏟️ Free State Stadium, Bloemfontein.
⏰ 1600hrs East African Time.
Mech inaanza saa ngap Kwa masaa ya huku Tanzania??Jumapili hii, wananchi Yanga SC watakuwa dimbani tena katika Kombe la Toyota wakicheza na Kaizer Chiefs ya kocha Nasreddine Nabi.
Nadhani ni saa kumi maana Azam ndo wanaanza uchambuzi saa hizi.Mech inaanza saa ngap Kwa masaa ya huku Tanzania??
Nakala ipite kwa Danielmwasi, mwasibu, na Ubaya Ubwela. Hawa makolo wana stress sanaWale wote wenye msongo wa mawazo, hasira, ugwadu, wasi wasi na njaa angalieni mechi ya leo matatizo yenu yote yanaenda kutatuliwa
Wape GGnipeni ubahiri wenu, nataka kuifata hii mechi kwa 25K
Bado mzize ni mchezaji wa kutegemewa Yanga😂😂
Jumapili hii, wananchi Yanga SC watakuwa dimbani tena katika Kombe la Toyota wakicheza na Kaizer Chiefs ya kocha Nasreddine Nabi.