Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Gamondi ana Nini na mzize,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui anampendea nini, Mzize ni mwangaaGamondi ana Nini na mzize,
Yanga tunaweza sana wadauMATCH DAY
View attachment 3054488
⚽ Kaizer Chiefs FC Vs Young African SC . 🏆 Toyota Cup.
🏟️ Free State Stadium, Bloemfontein.
⏰ 1600hrs East African Time.
Ndio kabisa! Ila usisahau ahadi yakoYanga tunaweza sana wadau
Huwezi jua labda kaambiwa lazima achezeSijui anampendea nini, Mzize ni mwangaa
Jamani si Mchezaji wenu huyu Au?Sijui anampendea nini, Mzize ni mwangaa
Mchezaji wangu ni GuedeJamani si Mchezaji wenu huyu Au?
Mzize mpambanaji,Jasiri Muongoza njia Kipenzi cha wana Yanga na TanzaniaMchezaji wangu ni Guede
Amka wewe utajikojoleaHuyu shabalala ndio yule aliechezea makolo
Tule tu mbwembwe ndo kupelekewa moto .Dah hawa wasauzi wana dharau kinoma....gongowazi pelekewa motooo
Acha pigo za kike huoni nimeuliza? Jibu swaliAmka wewe utajikojolea