Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Ipo hapo juuMwenye link please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo hapo juuMwenye link please
Itakua mzee!Huyo jamaa nafikiri ni moja ya Admin
Yani wanaishobokea mnooWasauth wanaishobokea sana Yanga usiseme
Boka niaje tena.Jumapili hii, wananchi Yanga SC watakuwa dimbani tena katika Kombe la Toyota wakicheza na Kaizer Chiefs ya kocha Nasreddine Nabi.
----
View attachment 3055166
Kikosi cha Yanga kinachoanza5' Keiza 0 - 0 Yanga
10' Keiza 0 - 0 Yanga
15' Keiza 0 - 0 Yanga
20' Keiza 0 - 0 Yanga
25' Goooooal Dubeee
25' Keiza 0 - 1 Yanga
30' Keiza 0 - 1 Yanga
35' Keiza 0 - 1 Yanga
40' Keiza 0 - 1 Yanga
Utabili umetimia
Nikumbushe mrembo nilitoa ahadi gani!Itakua mzee!
Unampenda au unamkubaliLanga chivavilo
Huyu jamaa hua nnampenda saana
Ana injury 🩸Boka niaje tena.
Nimeangalia Ulitoa ila sio kwa mechi hiiNikumbushe mrembo nilitoa ahadi gani!
I normally ful fill my promises
Unahisi sababu ni ni,ni?Yani wanaishobokea mnoo
Hasa mashabiki wa Orlando pirates na hata hawa kaizer