FT: KMC 2-1 Azam, Samaleko Azam FC

FT: KMC 2-1 Azam, Samaleko Azam FC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru, Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.

Azam ni timu ya kawaida sana, inakuzwa sana na vyombo vya habari kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulika kitakwimu ni moja tu, nayo ni mnyama Simba SC.
 
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.

Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Timu kubwa zoote zinatambulika Kwa Mataji, Yanga Wana Mataji 28 ya ligi kuu ao Simba ukubwa wanautoa wapi? Wakubwa hawawezikua wawili Mkubwa ni Yanga tu wengine wanatoa Changamoto Kwa Yanga.
 
Sijaelewa tatizo hasa la Azam FC kufanya vibaya linasababishwa na nini licha ya uwekezaji mkubwa uliopo klabuni?

Wangejaribu kuajiri Ma Consultant wa Mpira kutoka Nchi zilizoendelea walau kuja na Implementations plan za uendeshaji wa Timu nje na ndani ya Uwanja ambao utaendana na Uwekezaji wa Klabu
 
Divided loyalty
Hata aje Nani kazi bure
 
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.

Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Kwani ranks za FIFA na CAF zinatoa taswira gani?
 
Baada ya Mnyama Mkali mwituni kumtafuna vilivyo Utopolo 23/10 mechi inayofuata ni dhidi ya Azam.. Ndugu zetu Azam mjiandae vilivyo lasivyo, naona mkienda kumtimua kocha wenu kama ambavyo 24/10 Nabi atakavyo fungiwa vilago vyake.
 
Azam itaendelea kuwa kama Namungo au Kagera sugar mpaka hapo watakapoamua kuwa serious na kazi kwa vitendo.
Hii timu ni kubwa midomoni mwa watu ila uwanjani mpaka unasema ile nguvu ya kukamia mechi ya simba na yanga kwa nini huwa haitumiki kote?.
Wapuuzi kabisa, wanacheza wamelegea kama bamia wakiwa wanacheza na akina Ihefu, Ruvu n.k
 
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.

Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC

Azam kufungwa na Kmc sio kigez kuwa azam n team ndog au team inaykuzwa na media ata Barcelona wakt wa ubora wake ilikuwa inapgika kila ck na Osasuna
 
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.

Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Kwa hiyo Azam kufungwa na KMC ndio imekuwa timu ndogo wakati hao KMC waliwalaza na viatu nyie makolo
 
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.

Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Huyu mzee anapoteza pesa bure, timu haikui hata kidogo sijui tatizo ni kocha au nini?
 
Azam itaendelea kuwa kama Namungo au Kagera sugar mpaka hapo watakapoamua kuwa serious na kazi kwa vitendo.
Hii timu ni kubwa midomoni mwa watu ila uwanjani mpaka unasema ile nguvu ya kukamia mechi ya simba na yanga kwa nini huwa haitumiki kote?.
Wapuuzi kabisa, wanacheza wamelegea kama bamia wakiwa wanacheza na akina Ihefu, Ruvu n.k
na ikitokea mayele kakukojolea tena itakuaje,nawaza tu
 
Baada ya Mnyama Mkali mwituni kumtafuna vilivyo Utopolo 23/10 mechi inayofuata ni dhidi ya Azam.. Ndugu zetu Azam mjiandae vilivyo lasivyo, naona mkienda kumtimua kocha wenu kama ambavyo 24/10 Nabi atakavyo fungiwa vilago vyake.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom