FT: KMC 2-1 Azam, Samaleko Azam FC

FT: KMC 2-1 Azam, Samaleko Azam FC

giphy.gif
Uzee mbaya sana, umekuwa kama punga
 
Timu kubwa zoote zinatambulika Kwa Mataji, Yanga Wana Mataji 28 ya ligi kuu ao Simba ukubwa wanautoa wapi? Wakubwa hawawezikua wawili Mkubwa ni Yanga tu wengine wanatoa Changamoto Kwa Yanga.
Acha UJINGA WEWE. Vilabu vyote Africa vinapangwa kwa wingi wa points zake. HEBU SEMA YANGA NI YA NGAP? Je ina points ngap?
 
Ukubwa wa Simba ni mataji 52 kibindoni..Mkubwa hachagui kombe lipi acheze vzr mkubwa anapiga anauaa yani hizo za ligi kuu ni upepo tuu ulimkalia vibaya. Ila over all Simba ni mkuuubwa mnooo.
 
Ila Azam sijui inafeli wapi

Kama wachezaji mbona nawaona wana kikosi kizuri

Au kocha?
 
Malengo ya yanga na Mayele ni kuifunga simba tu.
Wakitoka hapo hawana tofauti na mwenge ambao unamlika ndani huko vijijini n.k.
Kamwe mwenge hauwezi mlika nje ya Nchi
Mayele msimu uliopita alifunga goli 16 ina maana zote alimfunga kolo?
 
Sasa na umbumbumbu wako rank ni kikombe!! Hii Nchi Ina watu wa Ajabu sana!! Kama huna kikombe chochote Cha Caf rank inabaki kama namba tu, Trophy ndio Zina Justifie Ukubwa.
 
Sasa na umbumbumbu wako rank ni kikombe!! Hii Nchi Ina watu wa Ajabu sana!! Kama huna kikombe chochote Cha Caf rank inabaki kama namba tu, Trophy ndio Zina Justifie Ukubwa.
Kumbe hujui maana ya rank, kwaheri.
 
Sijaelewa tatizo hasa la Azam FC kufanya vibaya linasababishwa na nini licha ya uwekezaji mkubwa uliopo klabuni?

Wangejaribu kuajiri Ma Consultant wa Mpira kutoka Nchi zilizoendelea walau kuja na Implementations plan za uendeshaji wa Timu nje na ndani ya Uwanja ambao utaendana na Uwekezaji wa Klabu
Mpeni mwalimu muda,huyu mwalimu ana dalili ya uzuri
 
Back
Top Bottom