Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hawana backbone ya local players ambao wanaviwango vikubwa na viongozi.Sijaelewa tatizo hasa la Azam FC kufanya vibaya linasababishwa na nini licha ya uwekezaji mkubwa uliopo klabuni?
Wangejaribu kuajiri Ma Consultant wa Mpira kutoka Nchi zilizoendelea walau kuja na Implementations plan za uendeshaji wa Timu nje na ndani ya Uwanja ambao utaendana na Uwekezaji wa Klabu
Azam iliyotwaa ubingwa pamoja na kuwa na wachezaji wengi wa kigeni lakini ilikuwa na backbone ya wachezaji mahiri saba ambao ni local players.
Na wachezaji hao wote waliondoka kwenda kwenye vilabu vingine na wengine kushuka viwango.