OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Timu kubwa zoote zinatambulika Kwa Mataji, Yanga Wana Mataji 28 ya ligi kuu ao Simba ukubwa wanautoa wapi? Wakubwa hawawezikua wawili Mkubwa ni Yanga tu wengine wanatoa Changamoto Kwa Yanga.Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.
Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Divided loyaltySijaelewa tatizo hasa la Azam FC kufanya vibaya linasababishwa na nini licha ya uwekezaji mkubwa uliopo klabuni?
Wangejaribu kuajiri Ma Consultant wa Mpira kutoka Nchi zilizoendelea walau kuja na Implementations plan za uendeshaji wa Timu nje na ndani ya Uwanja ambao utaendana na Uwekezaji wa Klabu
Kwani ranks za FIFA na CAF zinatoa taswira gani?Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.
Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.
Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Kwa hiyo Azam kufungwa na KMC ndio imekuwa timu ndogo wakati hao KMC waliwalaza na viatu nyie makoloMpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.
Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Azam 1-1 GeitaAzam kufungwa na Kmc sio kigez kuwa azam n team ndog au team inaykuzwa na media ata Barcelona wakt wa ubora wake ilikuwa inapgika kila ck na Osasuna
Huyu mzee anapoteza pesa bure, timu haikui hata kidogo sijui tatizo ni kocha au nini?Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.
Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
Simba B kafungwaMpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru. Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.
Azam ni timu ya kawaida sana inakuzwa na sana na Media kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulila kitakwimu ni moja tu. Nayo ni Mnyama Simba SC
kwahio unataka kusema kwamba azam ni team ambayo inakuzwa na media haina jitihada yoyote uwanjanAzam 1-1 Geita
Azam 2-2 Yanga
Prison 1-0 Azam
Azam 1-2 KMC
Haya ni matokeo ya msimu huu. Mfano wako ni irrelavant
na ikitokea mayele kakukojolea tena itakuaje,nawaza tuAzam itaendelea kuwa kama Namungo au Kagera sugar mpaka hapo watakapoamua kuwa serious na kazi kwa vitendo.
Hii timu ni kubwa midomoni mwa watu ila uwanjani mpaka unasema ile nguvu ya kukamia mechi ya simba na yanga kwa nini huwa haitumiki kote?.
Wapuuzi kabisa, wanacheza wamelegea kama bamia wakiwa wanacheza na akina Ihefu, Ruvu n.k
Andika vizuri kakakwhy unatk kusema kwamb azam n team ambay inakuzwa
Baada ya Mnyama Mkali mwituni kumtafuna vilivyo Utopolo 23/10 mechi inayofuata ni dhidi ya Azam.. Ndugu zetu Azam mjiandae vilivyo lasivyo, naona mkienda kumtimua kocha wenu kama ambavyo 24/10 Nabi atakavyo fungiwa vilago vyake.