Hawana backbone ya local players ambao wanaviwango vikubwa na viongozi.Sijaelewa tatizo hasa la Azam FC kufanya vibaya linasababishwa na nini licha ya uwekezaji mkubwa uliopo klabuni?
Wangejaribu kuajiri Ma Consultant wa Mpira kutoka Nchi zilizoendelea walau kuja na Implementations plan za uendeshaji wa Timu nje na ndani ya Uwanja ambao utaendana na Uwekezaji wa Klabu
Huyo ni mbuzi,kwa hiyo unampigia mbuzi gitaaKumbe hujui maana ya rank, kwaheri.
Alipata tuzo gani binafsi kwa kufunga hizo goli 16?Mayele msimu uliopita alifunga goli 16 ina maana zote alimfunga kolo?
Alipewa dawa ya degedegeAlipata tuzo gani binafsi kwa kufunga hizo goli 16?
Hiyo timu kubwa inatambulika kwa mataji ya Ligi kuu peke yake? Kwa taarifa yako kwa idadi ya mataji Simba anamuacha Uto mbali sana sana. Utopolo mmekuwa mkijificha kwenye kivuli cha kutwaa makombe mengi ya ligi kuu kama vile ndio mashindano pekee timu hizo zimeshiriki.Timu kubwa zoote zinatambulika Kwa Mataji, Yanga Wana Mataji 28 ya ligi kuu ao Simba ukubwa wanautoa wapi? Wakubwa hawawezikua wawili Mkubwa ni Yanga tu wengine wanatoa Changamoto Kwa Yanga.
Ukweli mchungu huu! Hata Real Madrid, Barcelina, Bayerni Munich, nk. Hujivunia kwa wingi wa makombe!Timu kubwa zoote zinatambulika Kwa Mataji, Yanga Wana Mataji 28 ya ligi kuu ao Simba ukubwa wanautoa wapi? Wakubwa hawawezikua wawili Mkubwa ni Yanga tu wengine wanatoa Changamoto Kwa Yanga.
Hao pamoja na wenzake Coastal Union na Namungo wanachojua ni kuikamia tu Yanga.Simba B kafungwa
Chawa wapo wa kutosha Azam. Wanamlia hela zake tu Mzee wa watuHuyu mzee anapoteza pesa bure, timu haikuwa hata kidogo sijui tatizo ni kocha au nini?
Acha matusi bibie, mimba inakupelekesha unatukana wakubwa zakoUzee mbaya sana, umekuwa kama punga
Wakristo mna chuki ,ni kwann eti??Islamic football club
Wanafeli wapi wakati kila kitu wanacho hawa jamaaAzam genge la wahunitu lile
Udini kivipi fafanua.kinachotesa azam udini
Kagua Simba na Yanga viongozi wengi ni dini gani?Islamic football club
Kwamba watu wanampiga hela tu BarhesaDivided loyalty
Hata aje Nani kazi bure
Umesahau hao KMC waliwatoa jasho mpka mka anza kuimba Matola aondokeMpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru, Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.
Azam ni timu ya kawaida sana, inakuzwa sana na vyombo vya habari kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulika kitakwimu ni moja tu, nayo ni mnyama Simba SC.
Uswahili umejaa kwenye Management.Sijaelewa tatizo hasa la Azam FC kufanya vibaya linasababishwa na nini licha ya uwekezaji mkubwa uliopo klabuni?
Wangejaribu kuajiri Ma Consultant wa Mpira kutoka Nchi zilizoendelea walau kuja na Implementations plan za uendeshaji wa Timu nje na ndani ya Uwanja ambao utaendana na Uwekezaji wa Klabu