FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Wanamtolea povu Refa sasa hivi.
Wajinga tu

Wangeona ile free kick waliyopatia goli wasingesema.

Mpira umepigwa ukiwa kwenye movement which is illegal lakini hatujaamua kusema kwasababu tulijua ni makosa ya kibinadamu tu
 
Haha hongereni ninyi kwa kuchukua kombe la mabingwa africa
Yani wanatokwa povu utadhani wamefungwa wao.Kabla Simba haijafunga walikuwa wanapepeta hasa midomo yao [emoji3]
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…