FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

FB_IMG_1703341853208.jpg
 
DAAH lile tuta sijawahi kuona 😁
Ile ni too much aisee, hata kama mnabebwa sio kivile sasa daah😂
 
Baleke wat a turn.....ila mpira unamzidi kasi

72' Simba yupo mbele kwa bao 2
 
Kwa rafu zao hawa madogo wamestahili kabisa kuadhibiwa kwa penati

Na angekosa Saido ile penati ingerudiwa tena kama ilivyokuwa kwa Kagera
 
Back
Top Bottom