Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Wewe na genge lako lile tangu mwaka 1998 mliishia wapi?Ndio maana wanaishia robo fainali kila msimu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na genge lako lile tangu mwaka 1998 mliishia wapi?Ndio maana wanaishia robo fainali kila msimu.
Shughuli haina mwenyewe, ni wewe tu na kibwebwe chako.Shuhuli sio yako unaanzaje kuivakia kibwebwe?
Wajinga tuWanamtolea povu Refa sasa hivi.
Umeamua unitusi ndugu,ndio hivyo wengine battle ya matusi hatuweziUchungu ukizidi nenda kajifungue
Sisi tumecheza fainali za CAF mwaka huuhuu, kwani ulikuwa ICU ndio umetoka leo Mkuu?Wewe na genge lako lile tangu mwaka 1998 mliishia wapi?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sikilizia la tatu hilo linakujaShughuli haina mwenyewe, ni wewe tu na kibwebwe chako.
Haha hongereni ninyi kwa kuchukua kombe la mabingwa africaNdio maana wanaishia robo fainali kila msimu.
Itakuwa alikuwa hayupo dunianiSisi tumecheza fainali za CAF mwaka huuhuu, kwani ulikuwa ICU ndio umetoka leo Mkuu?
Itakuwa alikuwa hayupo dunianiSisi tumecheza fainali za CAF mwaka huuhuu, kwani ulikuwa ICU ndio umetoka leo Mkuu?
Ondoka sasa 😂Achana na mimi
Mashabiki wa kmc tunaenda mapumziko kidogo
SawaOndoka sasa 😂
Yani wanatokwa povu utadhani wamefungwa wao.Kabla Simba haijafunga walikuwa wanapepeta hasa midomo yao [emoji3]Haha hongereni ninyi kwa kuchukua kombe la mabingwa africa
Mbona unarusha ngumi?Achana na mimi
Wasalimie kina Uto wenzaSawa