Vingi CCM wamejimilikisha kutoka kua mali ya Umma hadi kua mali ya chamaViwanja vyote (ukitoa Chamazi) ni mali ya umma tunaweza kuchezea japo tunao uwanja wetu.
Wameenda kuwinda asali ya Tabora huku wakiwa hawajui kama kuna nyuki huko 😂Mwisho wa siku tumebaki wenyewe wapambe washakula kona
So tuwafanyeje ili waviachie hivyo viwanja?Vingi CCM wamejimilikisha kutoka kua mali ya Umma hadi kua mali ya chama
Umeonaeeee....Mnyama ni mnyama tu
Pole Sana mkuuWamesawazisha